Anaandika mchambuzi @kelvinrabson_ MAGICAL GAME… . Kwa jinsi mbinu za walimu wa timu zote zilivyokuwa bora..ubora wa vikosi v…
Anaandika mchambuzi @kelvinrabson_
MAGICAL GAME…
.
Kwa jinsi mbinu za walimu wa timu zote zilivyokuwa bora..ubora wa vikosi vyote viwili na jinsi wachezaji wanavyojituma…ukiswitch off kidogo tu umekwisha. Mechi ya kiwango cha juu sana.
.
Man City waliwapress Liverpool vizuri na kwa kasi sana pale Liverpool wanapofanya “Build Up” KDB na Sterling mbele ya Matip na VVD alafu Bernado haraka kwa Fabinho maana yake Liverpool hawapigi pasi fupi za mbele wanalazimika kupiga pasi ndefu kwenda mbele ambazo City walikuwa wanashinda wao.
.
Liverpool kwenye 4-3-3 lakini wakipress wanabadilika na kuwa 4-1-4-1, kwa City ilikuwa rahisi kwao kupenya kwasababu Silva anashuka chini zaidi maana yake Thiago au Hendo watamfata Rodri na KDB mmoja atakuwa huru kupokea mpira Foden anatoka pembeni anaingia ndani TAA anaingia ndani na Cancelo anashambulia space nyuma ya TAA . (Rahisi kabisa)
.
Kipindi cha pili Liverpool walirudi kwa kasi sana, mipira mirefu kwenda mbele mda huu wakilenga upande wa kushoto kwa Cancelo kushambulia space ambazo anaziacha nyuma na wachezaji wawili wa mbele “Jota na Manè” wanafanya movements (ndio goli la Manè lilivyotokea)…baada ya hapo Manè alishuka chini kusaidia kulinda pale waipokuwa hawana mpira.
.
NOTE: Cancelo moja ya mechi bora sana kacheza leo
…Bernado “Maestro”
kaupiga mwingi sana…Foden 
.
KDB…the man him self
amewaka kwanzia dakika ya kwanza mpaka ya mwisho.
.
Pep kwenye eneo la namba 9 bado anahitaji sana…anakosa nafasi nyingi sana na wanatengeneza nafasi lakini mmaliziaji hamna.
.
TAA amekutana na game ngumu sana kwake…Manè movements
.
Man City 2-2 Liverpool

The post Anaandika mchambuzi @kelvinrabson_ MAGICAL GAME…
.
Kwa jinsi mbinu za walimu wa timu zote zilivyokuwa bora..ubora wa vikosi v… appeared first on FACEBOOK TV.
The post Anaandika mchambuzi @kelvinrabson_ MAGICAL GAME…
.
Kwa jinsi mbinu za walimu wa timu zote zilivyokuwa bora..ubora wa vikosi v… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/5441/
Comments
Post a Comment